


WAZAWA KUPWA NA KUJAA KUFIKE MWISHO
WAZAWA ipo wazi kuwa hawajawa na msimu mzuri kutokana na rekodi kuwakataa ndani ya uwanja kwenye kila idara. Ni Yanga kinara wa utupiaji ni Fiston Mayele raia wa DR Congo ni Clatous Chama wa Simba kinara wa pasi za mwisho. Mayele ametupia mabao 16 ndani ya kikosi cha Yanga na Chama pasi 14 sio hawa…

FEISAL NI AZAM FC MIAKA MITATU
FEISAL Salum, Zanzibar Finest anakuwa mchezaji wa kwanza kusajiliwa ndani ya Azam FC. Nyota huyo anaibuka ndani ya Azam FC akitokea Yanga ambapo alikuwa na mkataba unaogotea ukingoni 2024. Ni mkataba wa miaka mitatu amesaini ndani ya Azam FC inayoshiriki Ligi Kuu Bara pia Juni 12 itacheza fainali Kombe la Azam Sports Federation itakuwa dhidi…

LIONEL MESSI KUTUA INTER MIAMI
INAELEZWA kuwa Lionel Messi anakaribia kujiunga na Klabu ya Ligi Kuu ya Soka ya Inter Miami wakati mkataba wake na Paris Saint-Germain, (PSG) utakapomalizika mwishoni mwa mwezi. Nyota huyo wa Argentina alikuwa amepokea ofa nono za kumfuata Cristiano Ronaldo hadi Saudi Arabia msimu huu wa joto na Barcelona nao wakitaka kumsajili tena. Lakini mchezaji huyo…

DODOMA JIJI YAIPIGIA HESABU RUVU SHOOTING
UONGOZI wa Dodoma Jiji FC umeweka wazi kuwa mchezo wao wa mwisho dhidi ya Ruvu Shooting unaotarajiwa kupigwa Juni 9 Uwanja wa Jamuhuri, Morogoro wataingia kwa tahadhari kuwakabili. Timu hiyo imekusanya pointi 34 baada ya kucheza mechi 29 nafasi ya 10 vinara ni Yanga wenye pointi 74 kibindoni. Yanga wao kete yao ya mwisho itakuwa…

SIMBA KUNA UMUHIMU KUBORESHA ENEO LA MLINDA MLANGO
MAKOSA ya Salim Juma ni yaleyale ndani ya dakika 180 ambazo amefungwa kwenye mechi mbili za Ligi Kuu hivi karibuni. Kipa huyo alipewa majukumu kwenye mechi kubwa pia ikiwa ni dhidi ya Yanga ambapo hakufungwa. Ikumbukwe kwamba Yanga ni mabingwa wa ligi msimu wa 2022/23 huku Simba wakigotea nafasi ya pili. Mchezo dhidi ya Namungo…

MGHANA HUYU AINGIA ANGA ZA YANGA
COLLINS Opare nyota wa Dodoma Jiji anatajwa kuwa kwenye hesabu za kusajiliwa na Yanga kwa ajili ya kuongeza makali kwenye safu ya ushambuliaji. Raia huyo wa Ghana ni miongoni mwa washambuliaji wenye mchango mkubwa ndani ya Dodoma Jiji akiwa ametupia kambani mabao 9. Kwenye mchezo uliopita dhidi ya Namungo wakiwa ugenini bao pekee la ushindi…

ISHU YA FEI TOTO IMEFIKIA HAPA
IMEELEZWA kuwa Yanga na Feisal Salum wamekutana kutekeleza agizo la Rais Samia Suluhu Hassan ambaye aliweka wazi kuwa angependa kuona mgogogoro baina ya taaisis na Fei Toto unamalizika. Rais Samia aliwaambia Yanga kwenye hafla ya pongezi ya kutinga fainali Kombe la Shirikisho Afrika na kuwa washindi wa pili Juni 5 kuwa ni aibu kuwa kwenye…

YANGA SC YAMFUATA MRITHI WA MAYELE, SAIDO MTEGO KWA YANGA
YANGA SC yamfuata mrithi wa Mayele, Saido amueweka mtego kwa Mayele wa Yanga

MUONEKANO WA KOMBE JIPYA LA NBC
HILI hapa kombe jipya la NBC Premier League ambalo watakabidhiwa mabingwa wa Ligi Kuu Bara Yanga. Leo Juni 7,2023 limezinduliwa kombe hilo mbele ya Waandishi wa Habari makao makuu ya benki hiyo, Posta. Yanga imetwaa taji hilo mara ya pili mfululizo ikiwa ni msimu wa 2021/22 na msimu huu pia wa 2022/23 lipo mikononi mwa…

YANGA WAPIGIWA GWARIDE LA HESHIMA
MABINGWA wa Ligi Kuu Bara Yanga chini ya Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi kwenye mchezo wao dhidi ya Mbeya City walipigwa gwaride la heshima. Gwaride hilo Yanga walipigiwa kabla ya mchezo wao wa mzunguko wa pili dhidi ya Mbeya City Uwanja wa Sokoine, Mbeya. Dakika 90 zilikamilikwa kwa sare ya kufungana mabao 3-3 na kugawana pointi…

VITA MPYA IMEIBUKA YANGA V SIMBA
WAKATI vita ya ubingwa ikiwa imefungwa kwa Yanga kufanikisha lengo la kutwaa ubingwa suala la kiatu cha ufungaji bora kwa sasa kina sura mpya. Ni Fiston Mayele mshambuliaji wa Yanga huyu anaongoza kwenye orodha akiwa ametupia mabao 16 na pasi tatu za mabao. Anayemfuatia ni Saido Ntibanzokiza wa Simba mwenye mabao 15 kibindoni na pasi…

FISTON MAYELE BALAA LAKE LIPO HAPA
MZEE wa kutetema Fiston Mayele wa Yanga mguu, ‘guu’ lake la kulia lina balaa kitaifa na kimataifa kwenye kutupia mabao kutokana na kufunga mabao mengi kwenye mechi za ushindani. Nyota huyo wa Yanga ana tuzo ya mfungaji bora kwenye mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika akiwa ametupia jumla ya mabao 7 na kuvaa medali ya…

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE CHAMPIONI JUMATANO
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Championi Jumatano

SIMBA YAICHAPA 6-1 POLISI TANZANIA, NTIBA, MWENDA WAWAKA
KIKOSI cha Simba kimeibuka na ushindi wa mabao 6-1 dhidi ya Polisi Tanzania kwenye mchezo wa mzunguko wa pili, Uwanja wa Azam Complex. Mzawa Israel Mwenda amepachika bao moja kwenye mchezo wa leo dakika ya 65 akitumia majalo ya Shomari Kapombe. Mabao matano kwa Simba yamefungwa na Saido Ntibanzokiza dakika ya 15,20, 26, 78 na…

AZAM FC YAITULIZA COASTAL UNION, MBOMBO ATUPIA
IDRIS Mbombo nyota wa Azam FC amefikisha bao lake la 8 Uwanja wa Mkwakwani wakisepa na pointi tatu dhidi ya Coastal Union. Katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa leo ubao umesoma Coastal Union 0-2 Azam FC. Mbombo alitupia kambani bao la kuongoza dakika ya 58 ambalo liliwaongezea nguvu Azam FC. Kwenye mchezo huo dakika…

SIMBA 3-0 POLISI TANZANIA
UBAO wa Uwanja wa Azam Complex unasoma Simba 3-0 Polisi Tanzania. Ni mchezo wa mzunguko wa pili wa ligi kukamilisha msimu wa 2022/23. Ni mabao ya Saido Ntibanzokiza ambaye amefunga hatrick ndani ya dakika 10 za mchezo huo. Nyota Jean Baleke amekwama kusepa na dakika 90 baada ya kupata maumivu dakika ya 15 nafasi yake…