
ISHU YA VIBALI MASTAA SIMBA NA SINGIDA FOUNTAIN GATE IPO HIVI
BAADA ya Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) kuweka wazi kuwa wachezaji wa kigeni wa timu mbili za Singida Fountain Gate na Simba hazijawasilisha vibali vya wachezaji wa kigeni Simba imetoa taarifa nyingine. Agosti 10 mapema TFF ilitoa taarifa kuwa Klabu za Singida Fountain Gate na Simba ndio klabu pekee ambazo hazijawasilisha kibali cha mchezaji yoyote…