Saleh

MUDA WA KAZI KWA AJILI YA MSIMU UJAO NI SASA

NYAKATI zinakuja na kupita na sasa ni wakati wa maandalizi ya msimu mpya ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kwa timu zote baada ya mabingwa wa ligi ambao ni Yanga kutangazwa. Ipo wazi kuwa kesi ya ubingwa kwenye kila eneo kuanzia Ligi Kuu Bara, Azam sports Fedaration mpaka suala la tuzo zote zimefungwa. Tumeona namna…

Read More

KOCHA YANGA AWEKA UGUMU HUU

KOCHA Msaidizi wa Yanga, Mrundi Cedric Kaze amekataa kusaini mkataba mpya wa timu hiyo, akitoa masharti magumu kwa uongozi ulioanza mazungumzo ambao ulitarajiwa kukutana naye mapema. Mkataba wa Nabi na Kaze ulimalizika Jumatatu hii mara baada ya mchezo wa Fainali ya Kombe la FA kumalizika kwa Yanga kutwaa taji hilo kwa kuwafunga Azam FC bao…

Read More

KIUNGO HUYU WA KAZI MIKONONI MWA SIMBA

MILTON Karisa nyota mwenye miaka 27 anayekipiga ndani ya Vipers ya Uganda anatakiwa kuwa katika hesabu za Simba. Kiungo huyo amewahi kufanya kazi na Robert Oliviera ambaye ni Kocha Mkuu wa Simba ikiwa dili lake litajibu atakuwa miongoni mwa nyota watakaokutana na watani zao wa jadi Yanga kwenye mechi za ushindani. Yanga ni watani za…

Read More

DJUMA SHABAN, BANGALA ISHU YA KUSEPA YANGA IPO HIVI

DJUMA Shaban na Yannic Bangala wanatajwa kuomba kuondoka ndani ya kikosi cha Yanga. Habari zinaeleza kuwa kuondoka kwa Nasreddine Nabi ndani ya Yanga kwenye benchi la ufundi kunawafanya mastaa wengine kufikiria kuondoka pia. Ipo wazi kuwa Bangala mkataba wake bado unaishi ndani ya Yanga kama ilivyo kwa Djuma mpaka 2024 lakini wanahitaji kuondoka. Djuma ameomba…

Read More

UMAKINI NI MUHIMU KWA SASA

TUNAONA timu zimeanza kuwaacha wachezaj wale ambao walikwama kufanya vizuri ama mikataba yao imegota mwisho hilo ni jambo linalohitaji umakini. Sio wachezaji tu hata benchi la ufundi imekuwa hivyo kama ambavyo wamefanya Yanga, Azam FC na Simba. Mbali na Yanga na Simba tunaamini bado zingine zitafuata kwa kuwa mwanzo wa msimu ni mwanzo wa mipango…

Read More

BEKI WA KAZI YANGA KUKUNJA MKWANJA MREFU

BEKI wa kazi ndani ya kikosi cha Yanga ambao ni mabingwa wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2022/23 Ibrahim Hamad ataboreshewa mshahara pamoja na mkataba wake. Beki huyo bado yupo ndani ya kikosi cha Yanga baada ya kusaini dili la miaka mitatu ameonyesha uwezo mkubwa kwenye mechi za ushindani kitaifa na kimataifa. Ni mwepesi kwenye…

Read More

SIMBA KUSHUSHA MITAMBO YA KAZI

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa utaingia sokoni kuleta mtambo wa mabao utakaoongeza kasi kwenye idara hiyo kwa msimu wa 2023/24. Timu hiyo imegotea nafasi ya pili kwenye msimamo na vinara ni Yanga ambao wametwaa ubingwa wa ligi. Ikumbukwe kwamba Yanga walikuwa wanatetea taji hilo walilotwaa msimu uliopita 2021/22. Ipo wazi kuwa Kocha Mkuu wa…

Read More

BILIONI 2.8 ZAMPELEKA MAYELE UARABUNI

MABINGWA mara mbili mfululizo wa Ligi Kuu Bara, Yanga SC, wanaweza kupata wakati mgumu kukataa ofa ya Rand milioni 22 (Sawa na Sh 2,806,936,000) kwa ajili ya kumuachia mshambuliaji wao, Mkongomani, Fiston Mayele kujiunga na Sepahan SC ya nchini Iran. Mayele amekuwa katika kiwango bora kwa misimu miwili aliyoitumikia Yanga ambapo msimu wa 2022/23, ametangazwa…

Read More

TAIFA STARS KAZI INAENDELEA

MBWANA Samatta nyota anayepambania nembo ya Tanzania katika Klabu ya Genk ya Ubelgiji ni miongoni mwa walioanza mazoezi na timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars. Timu hiyo chini ya Kocha Mkuu, Adel Amrouche imeanza maandalizi kuelekea mchezo wa kuwania kufuzu mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika, (AFCON). Ni Jumapili Juni 18 mchezo huo…

Read More