
WATATU WATAMBULISHWA NDANI YA SIMBA
KATIKA maboresho ya benchi la ufundi kikosi cha Simba kimeongeza watu watatu Kwa ajili ya msimu wa 2023/24. Ni Corneille Hategekimana huyu ni kocha mpya wa viungo ndani ya Simba yeye ni raia wa Rwanda na amewahi kufanya kazi ndani ya Vipers. Pia Daniel Cadena ambaye alikuwa ndani ya Azam FC huyu atakuwa ndani ya…