
NTIBANZOKIZA KWENYE REKODI YAKE BONGO
MSIMU wa 2022/23 Saido Ntibanzokiza alipachika mabao 17 ndani ya Ligi Kuu Bara ikiwa ni rekodi yake bora. Alitwaa tuzo ya kiungo bora msimu wa 2022/23, mfungaji bora licha ya kuwa ni kiungo mshambuliaji na jina lake lilijumuishwa kwenye kikosi bora cha msimu. Mshambuliaji Fiston Mayele wa Yanga naye alitupia mabao 17 na alitwaa tuzo…