
SIMBA:TULIENI TUTACHEZA MPIRA MZURI
KUTOKANA na kikosi cha Simba kucheza mechi mbili za Ligi ya Mabingwa Afrika mpira papatupapatu, Kocha Mkuu wa Simba Robert Oliveira ameweka wazi kuwa watafanya vizuri. Kwenye mchezo wa ugenini dhidi ya Power Dynamos ubao ulisoma Power Dynamos 2-2 Simba na mabao ya Simba ni Clatous Chama alifunga. Ule wa pili ubao ulisoma Simba 1-1…