
GEITA GOLD WATOSHANA NGUVU NA DODOMA JIJI
GEITA Gold wamekubali kugawana pointi mojamoja na wapinzani wao Dodoma Jiji kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Nyankumbu baada ya dakika 90 ubao umesoma Geita Gold 2-2 Dodoma Jiji. Mchezo huo ulikuwa na ushindani mkubwa kwa timu zote kuonyesha uwezo kusaka pointi tatu ndani ya dakika 90 za mchezo. Ni Geita Gold walianza kupata…