
STAY AWAY FROM THE SUN
UNAWEZA kushangaa kuwa Jua ni tatizo hapa Ivory Coast? Ngoja nikukumbushe kile kisa cha AFCON ya Cameroon. Kama unamkumbuka mwamuzi Janny Sikazwe katika mechi ya Mali dhidi ya Tunisia, alizua mjadala kumaliza mechi kabla ya muda na match kamishna akamtaka kurejea kumalizia zile dk 5, akaanzisha tena mchezo na baada ya hapo akapelekwa hospitali. Ishu…