VIDEO:MAYELE AFUNGUKIA KUHUSU UBINGWA,ISHU YA UFUNGAJI BORA

STAA wa Yanga, Fiston Mayele amesema kuwa furaha kubwa kuweza kuchukua ubingwa na hiyo imetokana na sapoti ya viongozi,pia ilikuwa ni ligi ambayo hajawahi kucheza ametumia nguvu zote. Ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Coastal Union umewafanya Yanga watwae ubingwa wa 28 huku Mayele akifikisha mabao 16