SAUTI:SIMBA YAMVUTIA KASI MCAMEROON ILI KUINASA SAINI YAKE

IMEELEZWA kuwa mabosi wa Simba wapo kwenye hesabu za kuinasa saini ya mshambuliaji raia wa Cameroon ambaye yupo kwenye hesabu za kutua ndani ya Simba msimu ujao kutokana na safu yao ya ushambuliaji inayoongozwa na Meddie Kagere, John Bocco na Chris Mugalu kushindwa kuwa kwenye ubora.