VIDEO:SIMBA YATAJA NAMNA WATAKAVYOIKABILI ORLANDO,VAR KUFUNGWA

AHMED Ally, Ofisa Habari wa Simba amesema kuwa kwa sasa mpango mkubwa ni kuelekea kwenye mchezo wao wa kimataifa dhidi ya Orlando Pirates unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa ambapo VAR itatumika kwenye mchezo huo na namna ambavyo itafungwa kwa kuwa tayari vikao vimeanza kufanyika.