RASMI KIKOSI CHA SIMBA V USGN,MUGALU NDANI

HIKI hapa rasmi kikosi cha Simba kitakachoanza leo dhidi ya USGN Uwanja wa Mkapa mchezo wa Kombe la Shirikisho, Uwanja wa Mkapa:-

Aishi Manula

Shomari Kapombe

Zimbwe Jr

Joash Onyango

Henock Inonga,

Jonas Mkude

Pape Sakho

Sadio Kanoute

Chris Mugalu

Rally Bwalya

Bernard Morrison

Akiba

Beno

Israel

Kennedy

Nyoni

Lwanga

Mzamiru

Kagere

Kiu

Banda

Saa 4:00 usiku