>

MAYELE APEWA MANENO WAKATI WA KUMPUMZISHA BABA MZAZI WA GSM

MTUPIAJI namba moja ndani ya kikosi cha Yanga Fiston Mayele akipata maneno kutoka kwa mmoja ya waliohudhuria maziko ya mzee Said Mohamed ambaye ni baba wa mdhamini na mfadhili wa Klabu ya Yanga, Ghalib Said Mohamed,(GSM).

Ni jana Machi 2022 alipumzishwa katika makazi yake ya milele katika makaburi ya Kisutu, Dar es Salaam.

Mayele ametupia mabao 9 akiwa amecheza mechi 16 na ametoa pasi 3 za mabao.

Jana Machi Mosi GSM aliweza kurejea akitokea Dubai akiwa pamoja na ndugu zake wakitokea Dubai na aliweza kuhudhuria msiba huo ambao ulitokea asubuhi ya jana.

Pumzika kwa amani mzee Said Mohamed.