Crdb Bank Federation Cup 2026/2027: Raundi Ya Kwanza Kuchezwa Leo!

Mashindano ya CRDB Bank Federation Cup yanaendelea leo, Novemba 27, 2026, kwa michezo sita ya Raundi ya Kwanza katika viwanja mbalimbali nchini.

RATIBA YA MECHI ZA LEO:

Premium FC 🆚 Nyumbu FC
📍 Uwanja wa Shananga | Saa 10:00 jioni

Magnet FC 🆚 Pan African
📍 Uwanja wa Maj Gen Mzee | Saa 10:00 jioni

Hits 21 FC 🆚 Majimaji FC
📍 Uwanja wa Samora | Saa 10:00 jioni

Madini United 🆚 Alliance FC
📍 Uwanja wa Bukombe | Saa 10:00 jioni

Endument FC 🆚 Nkim FC
📍 Uwanja wa Kilimanjaro | Saa 10:00 jioni

Stand Masasi 🆚 Mnazi Mmoja
📍 Uwanja wa Majaliwa | Saa 10:00 jioni