Yanga SC vs Kagera Sugar NBC Premier League 2026/27

Yanga SC vs Kagera Sugar NBC Premier League ni mchezo unaofuata kwenye ratiba kwa wababe hawa kusaka pointi 3 muhimu.

Mabingwa watetezi Yanga SC matokeo ya mchezo uliopita ilikuwa Yanga SC 2-1 Mashujaa FC, pambano hili lilipigwa Uwanja wa KMC Complex,Mwenye.

Wanarejea nyumbani tena Novemba Mosi 2026 kusaka ushindi ndani ya dakika 90 ambazo zinatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.

Kagera Sugar inayonolewa na Kocha Mkuu, Cedrick Kaze mchezo uliopita ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Coastal Union wakiwa ugenini hivyo wataingia uwanjani wakiwa na hasira za kusaka ushindi.

Yanga SC kwenye msimamo ipo nafasi ya pili inawakaribisha Kagera Sugar walio nafasi ya 15 na pointi 6.Ushindi kwa wageni katika mechi za ligi ni mchezo mmoja huku wenyeji wakishinda mechi 7.

…

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, Moyo Wangu Unavuja Damu na Msichana wa Maisha Yangu. Kuvipata 0756 028 371.

Msichana wa Maisha Yangu ni simulizi mpya ambayo inazungumzia nguvu ya ahadi na mabadiliko ya teknolojia ikiwemo matumizi ya AI. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM.

Kuvipata mtandaoni bofya hapa Buy Book: Msichana wa Maisha Yangu by Lunyamadzo Mlyuka on Selar | selar.

Buy Ganzi ya Maumivu Book by Lunyamadzo Mlyuka on Selar | selar

Moyo Wangu Unavuja Damu: https://selar.com/7901h4koj4