Ratiba ya BC Premier League 2026/27 | Simba SC vs Yanga SC

NBC Premier League inarejea leo Oktoba 8,2026 baada ya ratiba ya FIFA. Kuna mechi kali zinatarajiwa kuchezwa Oktoba huku Kariakoo Dabi ikitarajiwa kupigwa Oktoba 10, 2026.

Hii hapa ratiba ya Oktoba 8, 2026

Mashujaa FC vs Polisi Tanzania , saa 8:00 mchana
Pamba Jiji FC vs Geita Gold, saa 10:15 jioni
Namungo FC vs TRA United saa 12:30 jioni

Oktoba 9, 2026
Fountain Gate vs JKT Tanzania, saa 8:00 mchana
Mbeya City vs Kagera Sugar, saa 10:15 jioni
Dodoma Jiji FC vs Singida Black Stars, saa 1:00 usiku

Oktoba 10, 2026

Simba SC vs Yanga SC, saa 1:00 usiku

…

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, Moyo Wangu Unavuja Damu na Msichana wa Maisha Yangu. Kuvipata 0756 028 371.

Msichana wa Maisha Yangu ni simulizi mpya ambayo inazungumzia nguvu ya ahadi na mabadiliko ya teknolojia ikiwemo matumizi ya AI. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM.

Kuvipata mtandaoni bofya hapa Buy Book: Msichana wa Maisha Yangu by Lunyamadzo Mlyuka on Selar | selar.

Buy Ganzi ya Maumivu Book by Lunyamadzo Mlyuka on Selar | selar

Moyo Wangu Unavuja Damu: https://selar.com/7901h4koj4