Ratiba ya BC Premier League 2026/27 | Simba SC vs Yanga SC
NBC Premier League inarejea leo Oktoba 8,2026 baada ya ratiba ya FIFA. Kuna mechi kali zinatarajiwa kuchezwa Oktoba huku Kariakoo Dabi ikitarajiwa kupigwa Oktoba 10, 2026. Hii hapa ratiba ya Oktoba 8, 2026 Mashujaa FC vs Polisi Tanzania , saa 8:00 mchana Pamba Jiji FC vs Geita Gold, saa 10:15 jioni Namungo FC vs TRA…