Matokeo ya mzunguko wa 4 NBC Premier League

Haya ni matokeo ya mechi za mzunguko wa 4 ndani ya NBC Premeir League 2026/27

Mashujaa FC 2-1 Kagera Sugar, Uwanja wa Lake Tanganyika, Agosti 27,2026
Wafungaji Mishano Daud dakika ya 64 na Haroun Lyawatana dakika ya 72 kwa Mashujaa FC na Mudathir Said dakika ya 38.

Man of The Match Mishamo Michael wa Mashujaa FC

Simba SC 1-0 Coastal Union, Uwanja wa Meja Jen Isahmuyo, Agosti 27,2026

Goal Ismail Toure dakika ya 75. Man of The Match Nathaniel Chilambo
Agosti 28,2026

Fountain Gate 0-2 Mbeya City, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Agosti 28,2026

Goal Osca Mwajanga dakika ya 83 na 85
Man of The Match Mwajanga

Geita Gold 2-2 Azam FC, Uwanja wa Bukombe, Agosti 28,2026
Magoal ya Geita Gold Obrey Chirwa dakika ya 45+4 penalti na Martin Kigi dakika ya 90+3

Magoli ya Azam FC, Sopu dakika ya 45+1 penati na Himid Mao dakika ya 90+1

Man of The Match Kigi.

Yanga SC 2-0 Pamba Jiji FC, Uwanja wa KMC Complex, Agosti 28,2026
Magoal Maxi Nzengeli dakika ya 17 na Ibrahim Toure dakika ya 22
Agosti 29

Man of The Match Nzengeli

Agosti 29,2026

TRA United SC 0-1 Dodoma Jiji FC, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Agosti 29,2026

Mfungaji, William Edgar dakika ya 62
Man of The Match Edgar

Singida Black Stars 4-2 Polisi Tanzania, Uwanja wa Airtel, Agosti 29,2026

Wafungaji wa Singida Black Stars ni Jonathan Sowah dakika ya 25, Jmaes dakika ya 31 mkwaju wa penalti, Sheikhan dakika ya 42 na Mboma dakika ya 75

Kwa Polisi Tanzania ni Baraka Mwambule dakika ya 14 na Ibrahim Ame dakika ya 45+1

Man of The Match Sowah

JKT Tanzania 2-1 Namungo FC, Uwanja wa Mej. Gen. Isamuhyo, Agosti 29,2026

Wafungaji wa JKT Tanzania, Paul Peter dakika ya 52, penalti na Said Mkopi dakika ya 57 kwa Namungo FC ni Hassan Wahabi alijifunga dakika ya 77.

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, Moyo Wangu Unavuja Damu na Msichana wa Maisha Yangu. Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.

Msichana wa Maisha Yangu ni simulizi mpya ambayo inazungumzia nguvu ya ahadi na mabadiliko ya teknolojia ikiwemo matumizi ya AI. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM.

Duniani kote kinapatikana mtandaoni bofya hapa Buy Book: Msichana wa Maisha Yangu by Lunyamadzo Mlyuka on Selar | selar.