Meridianbet imezindua rasmi promosheni ya Mzuka wa Mabingwa, kampeni inayowapa mashabiki wa michezo na kasino nafasi ya kujishindia zawadi kubwa kwa kutumia Airtel Money. Promosheni hii imekuja wakati ambao mashabiki wa burudani wanatafuta zaidi ya ushindi wa kawaida, kwa kuwa sasa kila dau linaweza kuleta zawadi nyingine ya ziada.
Kwa kuweka dau lako la kuanzia TZS 5,000 au zaidi na kushiriki kwenye michezo ya kubashiri au kasino kwa kiwango hicho hicho, mteja huingia moja kwa moja kwenye droo maalum za promosheni. Washindi wa mizunguko ya bure 250 hupatikana kila siku, huku simu janja zikitolewa kila wiki kwa washiriki wenye bahati.
Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Kilele cha promosheni hii ni zawadi kubwa zinazovutia kila mshiriki. Bajaj mpya, PlayStation 5 na Hisense TV ni baadhi ya zawadi ambazo washindi watajinyakulia kupitia droo maalum. Meridianbet imeongeza thamani ya kila mchezo kwa kuwapa wateja nafasi nyingi za ushindi ndani ya promosheni moja.
Promosheni ya Mzuka wa Mabingwa inaonyesha dhamira ya Meridianbet kuendelea kutoa uzoefu wa kipekee kwa wateja wake. Mchanganyiko wa michezo, kasino na zawadi umeifanya promosheni hii kuwa moja ya kampeni zinazovutia zaidi kwa mashabiki wa burudani nchini.
Meridianbet inawakaribisha wateja wote kushiriki mapema na kutumia fursa hii ya kipekee. Kila siku inaleta mshindi mpya, na zawadi kubwa zinaendelea kusubiri majina yenye bahati.