Ikiwa unapenda ushindani na zawadi kubwa, basi Evoplay Summer Season of Legends imekuja kwa ajili yako. Meridianbet imeandaa mashindano maalum yanayowapa wachezaji nafasi ya kushindania zawadi kubwa yenye thamani ya hadi TZS 1,089,000,000.
Kuanza ni rahisi sana. Weka dau lako kuanzia TZS 600 na kila raundi inayostahili itachangia safari yako ya kupanda kwenye msimamo. Kila hatua inaweza kukupeleka karibu zaidi na ushindi.
Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya MERIDIANBET au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Michezo inayoshiriki imejaa burudani na fursa za ushindi, ikiwemo Queen of Sirens, Cycle of Luck, Budai Reels, Imperial Relics: Three Pots pamoja na Hot Triple Sevens Hold & Win.
Kwa kuwa mashindano yanafanyika kwa awamu za kila mwezi, kila kipindi kinatoa nafasi mpya ya kurekebisha mikakati yako na kuendelea kushindana dhidi ya wachezaji wengine kutoka maeneo mbalimbali.
Je, una kile kinachohitajika kuwa legend mpya? Ingia Meridianbet kasino leo na anza safari yako ya kuelekea kwenye zawadi kubwa za Summer Season of Legends.