Matoke ya Simba SC mechi 5 za mwisho NBC Premier League

MECHI 5 za mwisho kwa Simba SC ndani ya NBC Premier League ilipata ushindi mara baada ya kutoka kugawana pointi mojamoja na Yanga SC.

Kwenye msimamo ipo nafasi ya pili baada ya mechi 25 imekusanya pointi 58 tofauti ya pointi 2 na Yanga SC yenye pointi 60 nafasi ya kwanza.

Haya hapa matokeo ya Simba SC mechi 5 zilizopita namna hii:-

Mei 6, 2026 Simba SC 1-0 JKT Tanzania

Mei 10, 2026, Simba SC 4-0 Tanzania Prisons

Mei 14, 2026, Mashujaa FC 0-3 Simba SC

Mei 21, 2026, Coastal Union 1-2 Simba SC

Mei 24, 2026, Simba SC 1-0 Dodoma Jiji FC

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu.  Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.

Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.