Hii hapa ratiba ya Simba SC Aprili

SIMBA SC 2025/26 ina mechi za kazi zinafuata kwenye ratiba mara baada ya kukamilisha dakika 90 dhidi ya Azam FC kwa sare ya 0-0, Uwanja wa Azam Complex, Aprili 5, 2026.

Hii hapa ratiba inayofuata kwa Simba SC:-

TRA United vs Simba SC, Aprili 9, 2026, saa 10:00 jioni

Simba SC vs Dodoma Jiji FC, Aprili 12, 2026, saa 12:30, CRDB Federation Cup

Fountain Gate vs Simba SC, Aprili 15, 2026, saa 10:00 jioni.

Namungo FC vs Simba SC, Aprili 18,2026 saa 1:00 usiku

Simba SC vs JKT Tanzania, Aprili 19,2026 saa 1:00 usiku

Simba SC vs Tanzania Prisons, Aprili 29, 2026 saa 1:00 usiku

***

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu.  Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.

Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.