Hii hapa ratiba ya NBC Premier League leo

LEO Aprili 4 NBC Premier League burudani inaendelea zikipigwa mechi tatu kubwa kwa wababe kusaka pointi 3 muhimu uwanjani.

Aprili 4, 2026 Mashujaa FC vs Pamba Jiji Lake Tanganyika, saa 10:00 jioni

Mashujaa FC kwenye msimamo ipo nafasi ya 11 na pointi zake ni 19 inawakaribisha Pamba Jiji FC walio nafasi ya 5 na pointi 25.

Aprili 4, 2026 Yanga SC vs Tanzania Prisons KMC Complex, saa 12:30 jioni

Yanga SC kwenye msimamo ipo nafasi ya kwanza na pointi 38 inawakaribisha Tanzania Prisons nafasi ya 15 na pointi 13.

Aprili 4, 2026 Namungo FC vs JKT Tanzania Majaliwa, saa 9:00 usiku

Namungo FC kwenye msimamo nafasi ya 9 na pointi 21 inawakaribisha JKT Tanzania nafasi ya 4 na pointi 28.

***

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu.  Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.

Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.