Simba SC 2-0 Coastal Union ni matokeo rasmi katika mchezo wa kiporo uliochezwa Aprili 2, 2026 Uwanja wa Meja Jeneral Isahmuyo.
Wenyeji walivuna pointi 3 kwa magoli yaliyofungwa kipindi cha kwanza huku Neo Maema ambaye alionyeshwa kadi ya njano dakika 90 akichaguliwa kuwa mchezaji bora wa mchezo huo.
Hapa tumekusogezea takwimu za mchezo namna hii:-
Simba SC |
Coastal Union |
|
14 |
Mashuti |
3 |
6 |
Lenga lango |
2 |
52% |
Umiliki |
48% |
8 |
Mashuti yasiyolenga lango |
1 |
0 |
Kadi nyekundu |
0 |
1 |
Kadi ya njano |
2 |
8 |
Kona |
1 |
2 |
Magoli |
0 |
***
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu. Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.
Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.