NBC Premier League wiki hii zitanatarajiwa kuchezwa mechi mbili ambazo zilikuwa ni viporo kwa wahusika.
Ni mzunguko wa 18 unaelekea ndani ya 2025/26 huku baadhi ya timu zikiwa zimecheza mechi 15 na nyingine 16 kutokana na majukumu ya timu katika mechi za kimataifa.
Simba SC, Azam FC na Singida Black Stars hizi zilikuwa zinaperusha bendera ya Tanzania katika anga la kimataifa jambo lilipolekea baadhi ya mechi kuwekwa viporo.
Ratiba ya viporo ipo namna hii:-
Aprili Mosi 2026
Singida Black Stars vs Azam FC, saa 10:00 jioni
Uwanja wa Airtel, Singida
Aprili 2, 2026
Simba SC vs Coastal Union, saa 1:00 usiku
Uwanja wa Meja Jeneral Isahmuyo.
***
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu. Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.
Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.