Mechi ya Kisasi! Ukraine na Sweden Kukutana Kufuzu WC 2026

 

Usiku wa leo macho ya mashabiki wa soka yataelekezwa kwenye dimba la Estadi Ciutat De Valencia, ambapo timu ya taifa ya Ukraine itakuwa mwenyeji wa Sweden katika mchezo wa hatua ya mtoano wa kufuzu WC 2026, ambapo kwenye mechi hii unaweza kujizolea maokoto na Meridianbet.

Mchezo huu umepewa jina la “kisasi” kutokana na kumbukumbu ya michuano ya Euro 2020, ambapo mataifa haya mawili yalikutana katika hatua ya 16 bora. Katika pambano hilo, Ukraine iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Sweden, matokeo ambayo yaliwaumiza sana Sweden na kuacha alama isiyofutika kwa mashabiki na wachezaji wao.

Katika kampeni ya kufuzu Kombe la Dunia, Ukraine imeonyesha kiwango kizuri kwa kiasi kikubwa. Imefanikiwa kushinda michezo kadhaa muhimu ikiwemo ushindi wa 2-0 na 2-1 dhidi ya Azerbaijan pamoja na ushindi wa mabao 5-3 dhidi ya Iceland. Hata hivyo, walipata changamoto walipokutana na France, wakipoteza kwa mabao 2-0 na 4-0, lakini bado wanaonekana kuwa na makali ya kushindana.

Kwa upande wa Sweden, hali imekuwa tofauti kabisa. Timu hiyo imekuwa katika wakati mgumu baada ya kushindwa kushinda hata mchezo mmoja katika hatua za makundi. Wameambulia sare mbili na kupoteza mechi nne, hali inayoweka presha kubwa kwao kuelekea mchezo wa leo na kuwafanya kuwa na kiu kubwa ya kubadilisha hali. Jisajili sasa

Swali kubwa linalobaki vichwani mwa wengi ni kama Sweden wataweza kulipa kisasi chao cha muda mrefu au Ukraine wataendelea kuthibitisha ubabe wao. Ni pambano la heshima, historia na mustakabali wa kufuzu Kombe la Dunia, ambapo kila timu italazimika kupambana kwa nguvu zote ili kufikia ndoto zao. Odds zimeinuka kama mlima, unashindwaje kuseleleka nazo?

Ingia kwenye kasi ya kujishindia pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au kwa wa vitochi piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Bila shaka, mechi ya leo itakuwa ni burudani ya hali ya juu kwa mashabiki wa soka duniani kote. Dakika 90 zitajaa presha, mbinu na mapambano makali, huku kila upande ukitaka kuandika historia mpya. Je, Sweden watafufuka au Ukraine wataendelea kutawala? Majibu yote yatapatikana uwanjani usiku wa leo.