Orodha ya makipa wenye hati safi nyingi NBC Premier League

LIGI ya NBC Premier League ushindani wake ni mkubwa kwa kila timu kupambania ushindi ndani ya uwanja msimu wa 2025/26.

Makipa kazi kubwa kwenye kuokoa michomo ndani ya uwanja huku Yanga SC wakiwa namba moja kwenye eneo hilo na ipo wazi baada ya mechi 16 timu hiyo haijapoteza mchezo.

Hii hapa orodha ya makipa wenye hati safi nyingi namna hii:-

Djigui Diarra wa Yanga SC- 10
Aishi Manula wa Azam FC- 6
Erick Johola wa Mashujaa-6
Jean Noel wa TRA United- 6
Djibrilla Kassali wa Simba SC- 5
Zuber Foba wa Azam FC – 5
Yona Amosi wa Pamba Jiji FC – 5
Ally Salim wa Dodoma Jiji FC- 5
Mussa Mbisa wa Tanzania Prisons-5

***

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu.  Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.

Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.