Mpanzu afurahia kubaki ndani ya Simba SC

ELLIE Mpanzu winga wa Simba SC, raia wa DR Congo amesema kuwa ni furaha kwake kusalia katika familia ya timu hiyo kwa muda mwingine tena. Machi 23,2026 taarifa rasmi kutoka Simba SC ilieleza kuwa winga huyo mwenye pasi 5 za mabao msimu wa 2025/26 ndani ya NBC Premier League ameongeza kandarasi ya miaka miwili. Awali…

Read More

Simu Mpya Inakusubiri! Jiunge na Promosheni ya Meridianbet

Inawezekana kabisa kupata Samsung Mpya kabisa kwa wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet. Kupitia promosheni yako ya Bet Online ndugu mteja una nafasi ya kuchukua Samsung A26 hapa. Katika msimu huu wa burudani na ushindani mkali ndani ya ulimwengu wa soka, Meridianbet imewasha moto mpya unaowapa wachezaji wote sababu ya kuongeza hamasa wanapotazama na kubashiri mechi…

Read More