Julián Álvarez hana mpango wowote wa kuondoka Atlético Madrid msimu huu wa majira ya joto jambo linalozipa pigo kubwa juhudi za FC Barcelona kumsajili. ❌
Mshambuliaji huyo ameonyesha kujitolea kikamilifu kwa mradi wa timu unaoendelezwa na kocha Diego Simeone pale Atletico.
Arsenal pia wamekuwa wakihusishwa na mshambuliaji huyo raia wa Argentina 🇦🇷
(Chanzo: SPORT) ⚽