Ratiba ya NBC Premier League 2025/26 hii hapa

NBC Premier League inazidi kushika kasi huku vinara wakiwa ni Yanga SC chini ya Kocha Mkuu, Pedro Goncalves wao ni mabingwa watetezi.

Machi 18,2026 kuna mechi mbili ambazo zinatarajiwa kuchezwa kwenye ratiba namna hii:-

TRA United vs Yanga SC, saa 10:15, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid

Tanzania Prisons vs Singida Black Stars, saa 2:15, Uwanja wa Jamhuri

Machi 19,2026

Mashujaa FC vs Azam FC, saa 10:00 jioni

Pamba Jiji FC vs Simba SC, saa 10:00 jioni.

***

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu.  Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.

Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.