Leo Machi 7 2026 ni Simba SC vs B19 FC mchezo wa hatua ya 32 bora CRDB Federation Cup, Uwanja wa Mej Jen. Isahmuyo saa 1:15 usiku.
Hiki hapa kikosi cha Simba SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Steve Berkar ambacho kinatarajiwa kuanza:-
Hussen Abel, Duchu, Mligo, Vedastus, Toure, Naby, Bashiri, Kante, Inno, Morice Abraham na Gueye wameanza kikosi cha kwanza.
Wachezaji wa akiba ni Kassali, Kapombe, Kibabage, Mbegu, Kagoma, Oura, Semfuko, Baraka, Chama na Mpanzu.
***
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu. Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.
Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.