Simba SC 2-0 B19 FC

Simba SC 2-0 B19 FC katika mchezo wa hatua ya 32 CRDB Federation Cup, Uwanja wa Mej. General Isamuhyo. Watupiaji ni Inno Loemba dakika ya 22 kwa pigo la kichwa na Clatous Chama dakika ya 77 akitumia pasi ya Ellie Mpanzu. Mpanzu na Chama wote walianzia benchi mchezo wa leo. Chama alichukua nafasi ya kiungo…

Read More

Ujumbe kwa Kamati ya Saa 72

Takribani nusu siku tokea Kamati ya Saa 72 itangaze adhabu kadhaa kwa wakosefu ambao hakika wanapaswa kujirekebisha. Lakini wazi kuonaonekana ndani yake kuna SIASA na haiwezi kuwa msaada kwa wachezaji wetu, klabu au mpira wa Tanzania. Adhabu ya Mwalimu wa Simba ni sahihi kabisa na anapaswa kujifunza kwa kuwa alifanya shambulizi hata kama aliyeshambuliwa alianza….

Read More

Kwa Slotopia Ya Meridianbet, Sasa Kila Mzunguko Unakupa Ushindi

Soko la burudani ya kasino mtandaoni sasa limepata nguvu mpya baada ya Meridianbet kuijumuisha Slotopia, mtengeneza michezo anayelenga kuwapa wachezaji burudani isiyo na kikomo pamoja na bonasi na zawadi kemkem. Uzinduzi huu unaashiria kipindi kipya cha ushindi, ambapo kila mzunguko wa mchezo ni fursa ya kuongeza mapato. Slotopia imeundwa kwa lengo la kuhakikisha kila mchezaji…

Read More