Ligi Kubwa Zatikisa: Presha Juu ya Timu Zinazofukuzia Ubingwa, ODDS Kali

Je unajua kuwa ukiwa na Meridianbet kwenye simu yako ni rahisi sana kutengeneza pesa?. Mechi kibao zipo kuhakikisha huondoki patupu hapa suka jamvi lako sasa na uanze kubashiri hapa.

Ligi kuu ya Ujerumani, BUNDESLIGA  kitawaka sana ambapo Bayer Leverkusen atakiwasha dhidi ya ST. Pauli ambao wanashika nafasi ya 2 kutoka mwisho huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 6. Mechi ya kwanza kukutana, mwenyeji aliondoka na ushindi. Machaguo zaidi ya 1000 yapo kwenye mechi hii. Suka jamvi hapa.

Bingwa mtetezi Bayern Munich yeye atakuwa ugenini kumenyana vikali dhidi ya Werder Bremen huku hii ikiwa ni mechi muhimu kabisa kwa vigogo hawa wa Ujerumani kushinda kwani kwenye mechi zilizopita ameangusha pointi. Meridianbet wanawapa vijana wa Kompany nafasi ya kushinda leo. Wewe unampa nani nafasi ya upendelea?. Jisajili hapa.

Hapo baadae VFB Stuttgart watakuwa nyumbani kuoneshana ubabe dhidi ya FC Cologne ambao wana pointi 23 hadi sasa. Mechi ya kwanza kukutana kati yao kwenye ligi mwenyeji aliondoka na ushindi. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 kupatikana kwenye mtanange huu. Tandika jamvi hapa.

Pesa ipo nyingi kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette,Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

LALIGA leo hii mechi za pesa zipo Real Madrid watakuwa kibaruani dhidi ya Real Sociedad huku mechi ya mwisho kukutana kati yao Real waliondoka na ushindi. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda Alvaro na vijana wake wakiwa nyumbani. Wewe pesa yako unampa nani siku ya leo?. Tengeneza jamvi hapa.

Mechi nyingine ni hii ya Rayo Valecano dhidi ya Atletico Madrid ya Diego Simeone ambao wanafukuzia mbio za ubingwa msimu huu pia. Mpaka sasa wana pointi 45 huku wenyeji wao wakiwa na pointi 22. Ikumbukwe kuwa vijana hao wa Metropolitano wamemuongeza Lookman kwenye kikosi chao. Je watashinda leo?. Jisajili hapa.

Espanyol Barcelona atamenyana dhidi ya Celta Vigo ambapo tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 1 pekee. Kila timu inahitaji ushindi kwenye mchezo huu wa leo kusogea juu. ODDS KUBWA zipo hapa. Bashiri hapa.

SERIE A kule Italia kama kawaida kitawaka haswa ambapo Como 1907 atamenyana dhidi ya Fiorentina ambao wapo nafasi ya 3 kutoka mwisho na kibaya zaidi anakutana na timu ya Fabregas ambao wameweka vibaya sana. Nafasi ya kushinda wamepewa wenyeji. Beti hapa.

Kwa upande wa Juventus wao watakuwa ugenini kupepetana dhidi ya Inter Milan ambao ndio vinara wa ligi hadi sasa. Vijana wa Chivu wanahitaji ushindi kwenye mechi hii wazidi kukaa kileleni kwenye msimamo wa ligi. Mechi iliyopita walivyoonana Iner walipasuka. Je leo hii watalipa kisasi?. Bashiri hapa.

Lazio uso kwa uso dhidi ya Atalanta ambao kwasasa wanashika nafasi ya 7 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 8. Tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 4 pekee. Hii ni moja ya mechi kubwa ambayo itapigwa kule Italia huku nafasi ya wewe kushinda ikiwa ni nje kabisa. Suka jamvi hapa.