Klabu ya Simba, imetangaza kuachana na mchezaji wake, Jean Charles Ahoua.
Kupitia akaunti zake za mitandao ya kijamii, Simba imeandika:
“Asante kwa muda wote ambao ulikuwa sehemu ya kikosi chetu, Jean Charles Ahoua.”