Arsenal wameondoka Stamford Bridge wakiwa na ushindi muhimu wa mabao 3-2 dhidi ya Chelsea katika mchezo wa kwanza wa hatua ya mtoano.
⚽ Ben White alifungua ukurasa wa mabao mapema dakika ya 7, kabla ya Viktor Gyökeres kuisawazishia Chelsea dakika ya 49.
⚽ Alejandro Garnacho aliipa Chelsea uongozi dakika ya 57, lakini Arsenal wakarejea kwa nguvu kupitia bao la Martin Zubimendi dakika ya 71.
⚽ Garnacho alifunga bao lake la pili dakika ya 83, lakini halikutosha kuizuia Arsenal kupata ushindi.
Kwa matokeo hayo, Arsenal wanaweka mguu mmoja mbele wakisubiri mchezo wa marudiano utakaochezwa Emirates Stadium.