Kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania vs Nigeria

KIKOSI cha timu ya taifa ya Tanzania kitakachoanza kwenye mchezo dhidi ya Nigeria, fainali Afcon 2025 hatua ya makundi:-

Zuberi Foba, Shomari Kapombe, Mohamed Hussen, Ibrahim Bacca, Bakari Mwamnyeto, Novatus Miroshi.

Alphonce Mabula, Saimon Msuva, Charles M’Mombwa, Mbwana Samatta, Tarryn Allakarakhia.

Wachezaji wa akiba

Hussen Masalanga, Pascal Msindo, Dickson Job, Nickson Kibabage, Iddi Nado, Kibu Dennis, Wilson Nangu, Morice Abraham, Lusajo Mwaikenda, Kelvin John, Yusuph Kagoma, Kelvin Nashon, Haji Mnoga.

***

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu.  Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.

Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.