AFCON 2025: Ratiba, Makundi na Timu Zinazotabiriwa Kufanya Vizuri

Michuano ya Mataifa Barani Africa (AFCON) inatarajiwa kuanza kurindima leo huku timu kibao zikijidhatiti kupambana kwa hali na mali ili iweze kuchukua taji hilo. Bingwa mtetezi yeye ataanza kumenyana dhidi ya Mozambique. Bashiri na Meridianbet sasa.

Michuano hii itakuwa kwenye muundo wa makundi ambapo timu 24 ndio ambazo zimefuzu kushiriki michuano hii ambapo timu hizo zimegawanywa kwenye makundi 6 yenye timu 4 kila kundi.

Na kwa wale ambao watashika nafasi mbili za juu kwenye kila Kundi na timu 4 ambazo zitakuwa kwenye tatu bora ndizo ambazo zitaenda hatua ya 16 bora kwenye michuano hii. Wakati huo huo wewe mteja wa Meridianbet una nafasi ya kujishindia mapene kwenye michuano hii na Meridianbet.

Morocco ndio mwenyeji wa michuano hii mikubwa Barani Africa kwa ngazi ya Mataifa na hii ni kwa mara ya pili tangu hapo 1988 huku mechi nyingi zikipangwa kupigwa katika miji mbalimbali ikiwemo, Rabat, Casablanca, Agadir, Marrakech, na mingine mingi.

Piga pesa ndefu kwenye michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Morocco akiwa mwenyeji wa kichuano hii yupo Kundi A na ndiye ambaye atafungua pazia la michuano hii kwa kukipiga dhidi ya Comoros ambao hawapewi nafasi kubwa ya kushinda mechi hii pale Meridianbet.

Kuelekea michuano hii ya AFCON kuna timu ambazo zinapewa nafasi kubwa ya kuondoka na ubingwa ikiwemo Morocco ambaye ni mwenyeji wa michuano hii, lakini pia ikiwa ni timu ambayo ina kikosi bora kabisa cha kutetea taji hilo.

Egypt ni timu nyingine ambayo inapewa nafasi ya kushinda Kombe hili, huku ikiwa na mataji mengi ya Kombe hili, ambapo mpaka sasa inayo mataji 7, lakini pia ikiwa ndiyo timu ya kwanza kushinda mataji haya mara 3 mfululizo hadi sasa.

Pia Senegal nayo ni timu nyingine ambayo inapewa nafasi kubwa kabisa ya kushinda taji hili la AFCON msimu huu kutokana na uzoefu wa michuano hii pamoja na ukubwa wa kikosi ambacho wanacho chenye wachezaji bora chini ya kocha mkuu Pape Thiaw ambaye alirithi mikoba ya Aliou Cisse. Je beti yako utampa Simba wa Teranga kuchukua ubingwa huu?. Bashiri na Meridianbet.

Bingwa mtetezi wa Mashindano haya Ivory Coast nao wapo kwenye nafasi ya kuchukua kombe hili la Mataifa Africa baada ya kuonesha ushindani mkubwa mara ya mwisho na kubeba taji hili. Lakini pia timu ya Taifa ya Nigeria nayo inapewa nafasi ya kutoa upinzani mkali kuelekea michuano hii.

Je mwaka huu wa 2025 nani atabeba Kombe hili la AFCON kule Morocco?. Meridianbet inakwambia ni rahisi kujipigia pesa hapa. Ingia sasa na uanze safari yako ya ushindi leo.