Hiki hapa kikosi cha Yanga SC dhidi ya Simba SC

MABINGWA watetezi wa taji ya Ngao ya Jamii wapo Uwanja wa Mkapa kwenye msako wa ushindi ndani ya uwanja.

Dakika 45 zimekamilika ubao wa Uwanja wa Mkapa ukiwa unasoma Yanga SC 0-0 Simba SC, Septemba 16 2025 huku mashabiki wakiwa wamejitokeza kwa wingi.

Katika mchezo wa leo mwamuzi wa kati ni Ahmed Arajiga ambaye anasimamia sheria 17 za mchezo kwa watani hawa wa jadi.

Kikosi cha Yanga SC ambacho kimeanza kipo namna hii:-

Djigui Diarra, Ladack Boka, Israel Mwenda, Dickson Job, Ibrahim Bacca.

Duke Abuya, Maxi Nzengeli, Andambwile, Dube Prince, Mudathir Yahya na Pacome.

Hawa hapa wachezaji wa akiba

Mshery, Nondo, Ninju, Hussein, Abdulnasir, Conte, Kouma, Doumbia, Ecua, Mzize.

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu.  Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.

Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.