Meridianbet imeleta msisimko mpya kwa wapenzi wa michezo ya kubashiri mwezi huu wa Septemba, kwa kuzindua promosheni ya kipekee kupitia mchezo maarufu wa Aviator. Kuanzia tarehe 1 hadi 30 Septemba 2025, wachezaji wanapata nafasi ya kushinda simu mpya za Samsung A25 kila wiki, zawadi zinazotolewa kwa washindi waliocheza kwa ustadi na bahati.
Meridianbet itatoa simu mbili za Samsung A25 kwa wachezaji waliotimiza masharti ya promosheni kila wiki. Washindi watatangazwa kila Jumatatu na zawadi zao kukabidhiwa siku hiyo hiyo, bila kuchelewa. Jumla ya washindi nane wanatarajiwa kuondoka na simu hizi za kisasa kabla mwezi haujaisha.
NB; Meridianbet haijabaki nyuma katika kutoa burudani ya kiwango cha juu. Mbali na Bonanza, kuna michezo ya kasino mtandaoni inayovutia na mechi za kimataifa zenye odds kabambe. Hii ni fursa ya kuongeza kipato chako kila siku kwa njia rahisi na ya uhakika. Kujiunga ni rahisi mno, tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Aviator ni mchezo wa kasino mtandaoni unaohitaji uamuzi wa haraka na mikakati madhubuti. Mchezaji huweka dau lake kabla ndege haijaanza kupaa, na kadri ndege inavyopanda juu, dau huongezeka. Lakini tahadhari: ukichelewa kutoa pesa, kindege hulipuka na unapoteza dau lako. Ni mchezo unaochochea msisimko na ushindi wa haraka kwa waliobobea katika mbinu.
Ili kuingia kwenye droo ya wiki, unahitaji kuwa mteja aliyesajiliwa kwenye tovuti ya meridianbet.co.tz au kupitia app ya Meridianbet. Usajili ni wa haraka, salama, na unakuwezesha kuanza kucheza Aviator mara moja. Kila dau unaloweka linakuweka karibu na ushindi wa simu mpya.
Kwa mwezi huu wa Septemba, Meridianbet imetenga simu nane za Samsung A25 kwa washindi wa promosheni ya Aviator. Hii ni nafasi ya kipekee ya kuburudika na mchezo wa kasi huku ukijipatia zawadi ya thamani.
Usikubali nafasi hii ikupite. Jisajili sasa, weka dau lako, cheza kwa ustadi, na ujiunge na orodha ya washindi wa kila wiki. Bahati yako kumiliki simu kali bila gharama za ziada inaweza kuanza leo.