Meridianbet inakuletea shindano la kuvutia ambapo unaweza kujishindia simu mpya ya Samsung A25 kwa kucheza mchezo wa kusisimua wa Super Heli.
Kuanzia tarehe 1 Juni hadi 30 Juni, washindi wawili kila Jumatatu watajinyakulia simu mpya kwa kushiriki kwenye huu mchezo wa kasino ya mtandaoni. Super Heli si tu burudani ya kipekee, bali pia ni njia ya kuongeza kipato chako.
Ili kuingia kwenye droo ya ushindi, jisajili na Meridianbet, kisha cheza Super Heli kwa dau lolote. Kila mzunguko ni nafasi mpya ya kushinda! Kumbuka, zawadi na ushindi vinaweza kuwa upande wako wakati wowote.
NB; Ukijiunga na Meridianbet, unaweza kucheza michezo mbalimbali ya kasino ya mtandaoni na kubashiri mechi zenye ODDS NONO ili kuongeza kipato chako kirahisi. Piga *149*10# au tembelea tovuti ya meridianbet.co.tz
Super Heli ni mchezo wenye kasi na msisimko yaani unapoona ndege ikipaa juu, odds nazo hupanda, na ushindi wako unakuwa mkubwa zaidi! Kama ulishawahi kufurahia mchezo wa Aviator, basi hapa ni Zaidi. Kuna zawadi kubwa na nafasi ya kuibuka mshindi wa simu kali kabisa, Samsung A25.
Usikose fursa hii adhimu, Cheza Super Heli leo na uingie kwenye orodha ya washindi wa zawadi kibao kutoka Meridianbet.