Meridianbet imekuja na ofa kabambe kwa wale wote wanaojiunga kwa mara ya kwanza. Kama wewe hujawahi kuwa na akaunti ya Meridianbet, huu ndio wakati wa kuanza safari yako ya michezo ya kubashiri na kasino ya mtandaoni kwa faida kubwa. Unachotakiwa kufanya ni rahisi tu, jisajili, weka salio la kuanzia TSH 1,000 na uanze kupata zawadi papo hapo.
Wateja wapya wanaojiunga na kuweka fedha kwa mara ya kwanza wanapewa bonasi ya hadi 150% kwenye michezo au mizunguko ya bure ya kasino hadi 150, kwenye sloti ya Pia Premium. Kiasi cha zawadi yako kitaamuliwa na kiwango cha pesa unayoweka. Kwa mfano, ukianza na kati ya TSH 1,000 hadi 4,999, utapata mizunguko 20 ya bure. Kiwango kikifikia TSH 5,000 hadi 14,999, zawadi yako ni mizunguko 50 ya bure. Ukiweka kati ya TSH 15,000 hadi 29,999, unapata mizunguko 100, na iwapo utaweka zaidi ya TSH 30,000 bado unapata mizunguko 100 ya bure.
NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
Lakini kuna masharti madogo ya kuhakikisha unastahili zawadi hizo. Baada ya kuweka salio la kwanza, unatakiwa kuzungusha mara mbili ya kiasi ulichoweka ndani ya siku sita. Ukichelewa au ukishindwa kufanya hivyo ndani ya muda huo, utapoteza nafasi ya kupata bonasi na mizunguko ya bure. Jambo la muhimu kukumbuka ni kwamba, mizunguko inahesabiwa tu kwenye sloti za kasino. Michezo mingine kama Crash na Live Dealer haitajumuishwa kwenye promosheni hii.
Faida yoyote utakayoipata kutokana na mizunguko ya bure lazima ichezwe tena mara 40 kwenye sloti ya Pia Premium kabla ya kuhamishiwa kwenye akaunti yako ya pesa halisi. Baada ya hapo, Meridianbet itakutumia taarifa kupitia app kuhusu kiasi kinachoweza kuhamishwa. Lakini ikiwa utajiondoa kwenye promosheni kabla ya kutimiza masharti haya yote, mizunguko ya bure itafutwa na hautaweza kufaidika na ofa hii.
Hii ni nafasi adimu kwa mashabiki wa michezo na kasino. Jiunge leo na Meridianbet, weka salio lako, cheza, na jishindie zawadi murua unapoanza safari yako mpya ya kubashiri mtandaoni.