BIG MATCHES KURINDIMA VIWANJANI! NANI NI NANI?

 

Burudani ya soka la Afrika inaendelea. AFCON 2022, Nusu fainali ya EFL Cup sambamba na Super Cup nchini Hispania kutoa mchongo wa wiki. Meridianbet mambo yapo hivi;

 

Nigeria watairusha karata yao ya kwanza kwenye mashindano ya AFCON dhidi ya Mafarao wa Misri. Kelechi Iheanacho uso kwa uso na Mo Salah! Ni nani atayaanza mashindano kwa kuipeperusha vyema bendera ya Taifa lake? Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.45 kwa Misri.

Mabingwa watetezi wa AFCON, Algeria, wataianza safari yao ya kutete ubingwa watapochuana na Sierra Leone. Hakuna mnyonge kwenye mchezo huu, lolote linaweza kutokea muda wowote ndani ya dakika 90. Usichukulie poa, Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.06.

 

Kwenye EFL Cup, mchezo wa marudiano kati ya Tottenham Hot Spurs vs Chelsea utachezwa Jumatano hii. The Blues wataingia uwanjani wakiwa na faida ya magoli 2 kwenye mchezo wa kwanza. Conte atafanikiwa kupindua meza au Tuchel ataendeleza ubabe? Ifuate Odds ya 2.55 kwa Chelsea kupitia Meridianbet.

 

Ni usiku wa El Classico kunako Spanish Super Cup! FC Barcelona vs Real Madrid CF ni muendelezo wa kizazi kipya cha mtanange huu bila Lionel Messi vs Sergio Ramos/Cristiano Ronaldo. Huku Vinicius Jr, kule Gavi. Mbinu za Xavi Hernandez vs Carlo Ancelotti. Faida yako ipo Meridianbet, Odds ya 2.06 ipo kwa Madrid.

 

Baada ya mchezo wa kwanza kughairishwa, Liverpool watawaalika Arsenal katika mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya EFL Cup. Klopp ametoka kupata ushindi wa FA Cup huku Arteta akishuhudia kipigo na kutupwa nje ya mashindano ya FA. Mtanange ni mzito, safari ya fainali itakuwa njema kwa nani? Ifuate Odds ya 2.20 kwa Liverpool ndani ya Meridianbet.

Meridianbet – Nyumba Yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!