Meridianbet Foundation, taasisi ya kijamii ya Meridianbet, sehemu ya Golden Matrix Group (NASDAQ: GMGI), imezindua kampeni ya kimataifa ya uchangiaji vitabu, ikiwa ni sehemu ya juhudi zake za kusaidia maktaba ndogo na vituo vya jamii. Kampeni hii inalenga kutoa vitabu vya elimu, kuhamasisha usomaji, na kusaidia kuendeleza utamaduni katika maeneo mbalimbali duniani.
Wafanyakazi wa Meridianbet wamejitolea kuchangia vitabu walivyovisoma, ambavyo sasa vitasambazwa kwa maktaba na vituo vya jamii duniani. Kampeni hii ni sehemu ya dhamira ya Meridianbet Foundation ya kuhakikisha kuwa watu kutoka jamii zote, hasa zile zinazokumbwa na changamoto za kifedha, wanapata fursa ya kusoma na kupata maarifa muhimu kwa maendeleo yao.
“Tunajivunia kuendelea kuunga mkono elimu na utamaduni kupitia kampeni hii. Vitabu ni chombo muhimu cha maarifa, na kupitia juhudi hii, tunatumahi kutoa mchango wa kudumu katika jamii na kuhakikisha kuwa kila mtu anapata nafasi ya kujifunza,” alisema Stefan Todorović, Mkuu wa Global CSR wa Meridianbet Foundation.
NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
Kampeni hii itaendelea kuenea katika masoko yote ambapo Meridianbet inafanya kazi, ikiwa ni sehemu ya malengo ya kampuni kusaidia maendeleo ya jamii kupitia elimu, usomaji, na utamaduni.