Michuano ya kombe la Shirikisho Afrika inaendelea kutimua vumbi leo Januari 19, 2024 huku wawakilishi pekee wa Tanzania kwenye mashindano ya CAF, Simba Sc wakiwa kibaruani kwenye mchezo wa raundi ya mwisho wa Kundi A dhidi ya vigogo wa Algeria, CS Constantine katika dimba la Benjamin Mkapa.
Simba Sc waliopo nafasi ya pili pointi 10 baada ya mechi 5 tayari wameshafuzu lakini mchezo huu ni muhimu kwa ajili ya kuongoza Kundi wakihitaji ushindi tu ili wakwee kileleni mwa msimamo wa Kundi A.
16:00 Simba Sc ๐น๐ฟ vs ๐ฉ๐ฟ CS Constantine
๐๏ธ Benjamin Mkapa
1. ๐ฉ๐ฟ CS Constantineโmechi 5โ pointi 12
2. ๐น๐ฟ Simba Scโmechi 5โ pointi 10
3. ๐ฆ๐ด Bravos do Marquisโmechi 5โ pointi 7
4. ๐น๐ณ CS Sfaxienโmechi 5โ pointi 0
MECHI ZINGINE CAFCC
16:00 CS Sfaxien ๐น๐ณ vs ๐ฆ๐ด Bravos
19:00 Al Masry ๐ช๐ฌ vs ๐ฒ๐ฟ Black Bulls
19:00 Zamalek ๐ช๐ฌ vs ๐ณ๐ฌ Enyimba
22:00 Asec Mimosas ๐จ๐ฎ vs ๐ง๐ผ Orapa United
22:00 RS Berkane ๐ฒ๐ฆ vs ๐ฟ๐ฆ Stellenbosch
22:00 Stade Malien ๐ฒ๐ฑ vs ๐ฆ๐ด CD Lunda Sul
22:00 USM Alger ๐ฉ๐ฟ vs ๐ธ๐ณ Jaraaf
MECHI ZA LEO CAFCL
19:00 Mamelodi Sundowns ๐ฟ๐ฆ vs ๐ฒ๐ฆ AS FAR Rabat
19:00 Raja AC ๐ฒ๐ฆ vs ๐จ๐ฉ Maniema Union