YAO KUWAKOSA MC ALGERS UWANJA WA MKAPA

“Mchezaji wetu Kouassi Attohoula Yao hatakuwa sehemu ya kikosi baada ya kufanyiwa upasuaji. Yao atakuwa nje kwa kipindi kisichopungua wiki nne na kisichozidi wiki sita. Maxi Nzengeli anaendelea vizuri na maozezi, kama mwalimu ataona utimamu wake wa kimwili unafaa kucheza mchezo ujao basi atamtumia lakini kimsingi kwa sasa yupo salama” Ally Kamwe