Clatous Chama na Djigui Diarra kadi ya njano dakika ya 90
Dakika ya 89 Maxi Nzengeli anafanya jaribio akiwa nje ya 18 linaokolewa na kipa
Dakika ya 84 Mudathir Yahya ametoka ameingia Prince Dube
Dakika ya 75 Kipre Junior nyota wa zamani wa Azam FC ameingia akiwa ni mali ya MC Alger
Dakika ya 63 goal kwa MC Alger mtupiaji ni Ayoub Abdelaoh
Dakika ya 63 Tahim Meyzan anafanya jaribio linakwenda nje kidogo ya lango
Djigui Diarra anaokoa hatari dakika ya 55 na kuliweka lango salama
Dakika ya 50 Kennedy Musonda amechezewa faulo
Kipindi cha pili
Clatous Chama ameingia na Aziz Ki ametoka dakika ya 45
Dakika ya 45 Yanga wanapigiana pasi ila Pacome anapoteza pasi
Dakika ya 32 Ayoub wa MC Alger amemchezea faulo Kennedy Musonda inapigwa na Aziz
Dakika ya 32 Maxi Nzengeli amefanyiwa faulo
Dakika ya 30 Mudathir alifanya jaribio
Dakika ya 23 Pacome alionyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 10 Duke Abuya amecheza faulo ndani ya 18 mbele ya MC Alger
Save aliyoifanya Nickson Kibabage dakika ya pili ni yenye faida kubwa kwa Yanga kwa kuwa aliliweka lango salama
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, kukipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371. Ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM.