YANGA KWENYE MSAKO WA POINTI DHIDI YA JKT TANZANIA

FT:Uwanja wa Azam Complex

Yanga 2-0 JKT Tanzania

Goal Pacome pasi ya Clatous Chama dk 23

Clatous Chama goal dk 43

Dennis Richard ananyeshwa kadi nyekundu ya moja kwa moja na mwamuzi Arajiga kwa kosa la kudaka mpira nje ya eneo lake.

MCHEZO wa Ligi Kuu Bara Uwanja wa Azam Complex umeanza kwa kasi kwa kila timu kusaka pointi tatu wenyeji wakiwa ni Yanga chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi.

JKT Tanzania imekaribishwa ugenini ukiwa ni mchezo wa mzunguko wa kwanza huku mdaka mishale, Djigui Diarra akiwa langoni.

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, kukipata 0756 028 371. Ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM.