HIKI HAPA KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA JKT TANZANIA

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga wanakibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa ligi dhidi ya JKT Tanzania unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex,.

Hiki hapa kikosi cha Yanga kitakachoanza kipo namna hii:-Clement Mzize, Duke Abuya, Maxi, Sure Boy, Bakari Nondo ambaye ni nahodha, Job, Andambwile, Kibabage langoni yupo Diarra.

Viungo Clatous Chama na Pacome hawa wote wameanza katika kikosi cha kwanza mchezo unaotarajiwa kuchezwa saa 1:00 usiku.

Wachezaji wa akiba ni Aweso, Yao, Bacca, Boka, Nkane, Mudathir, Aziz, Baleke, Prince Dube.

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, kukipata 0756 028 371. Ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM.