HIKI HAPA KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA TANZANIA PRISONS

BAADA ya kupoteza mchezo uliopita wa Kariakoo Dabi dhidi ya Yanga Oktoba 19 2024 Simba itakuwa na kibarua kingine ugenini kwenye mchezo wa ligi.

Itakuwa Uwanja wa Sokoine Mbeya, Simba itakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya Tanzania Prisons ambayo nayo inazihitaji pia hizo pointi tatu.
Kikosi cha kwanza kipo namna hii: Mussa Camara, Shomari Kapombe, Mohamed Hussein, Chamou, Che Malone, Ngoma, Kibu, Okejapha, Ateba, Awesu Awesu, Chasambi.
Wachezaji wa akiba ni Aishi Manula, Kijili, Kazi, Mzamiru, Mutale, Deborah, Balua, Mukwala, Benjamin, Shadrack. Mchezo huo unatarajiwa kuanza saa 10: 00 jioni utakuwa mubashara Azam TV.

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, kukipata 0756 028 371. Ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM.