KARIAKOO DABI UWANJA WA MKAPA; SIMBA V YANGA

UWANJA wa Mkapa

 Simba 0-1 Yanga

Maxi Nzegeli goal dk 86

KARIAKOO Dabi Uwanja wa Mkapa mzunguko wa kwanza dakika 45 za mwanzo ngoma ni nzito kwa timu zote mbili ambapo hakuna aliyepata bao la kuongoza.

Mshambuliaji wa Simba, Leoenal Ateba anaokena kuwa kwenye presha kubwa katika kutafuta bao ambapo anakutana na kizingiti kutoka kwa mabeki wa Yanga, Dickson Job na Bacca ambao wamemuweka mtu kati.

Prince Dube amekuwa akipambana kutafuta nafasi ya kumtunga Camarra kwenye mchezo ambapo nyota huyo bado tabia yake ya kutoka nje ya lango inaendelea kama ambavyo Djigui Diarra wa Yanga anafanya.

Joshua Mutale wa Simba amekuwa na dakika 15 za mwanzo nzuri kutokana na pasi zake kuwa na uhakika huku Kibu Dennis akitumia nguvu kubwa kuvuka lango la Yanga.

Aziz Ki kwenye ubora amekosa utulivu ndani ya dakika 45 za mwanzo katika Kariakoo Dabi.

USIPANGE kukosa kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ambacho kipo mtaani hii ni simulizi iliyoandikwa na Mtunzi Lunyamadzo Mlyuka, kuipata 0756 028 371.